Numbers 15:8-10

8 a“ ‘Unapoandaa fahali mchanga kama sadaka ya kuteketezwa au dhabihu, kwa ajili ya nadhiri maalum au sadaka ya amani kwa Bwana, 9 bleta pamoja na huyo fahali sadaka ya nafaka ya unga laini sehemu tatu za kumi za efa
Sehemu tatu za kumi za efa ni sawa na kilo 3.
uliochanganywa na nusu ya hini
Nusu ya hini ni sawa na lita 2.
ya mafuta.
10 ePia utaleta nusu ya hini ya divai kama sadaka ya kinywaji. Itakuwa sadaka iliyoteketezwa kwa moto, harufu nzuri inayompendeza Bwana.
Copyright information for SwhKC